Thursday, 7 September 2017

FOOD AND DRINKS AFFECT US!

                 HOW DO FOOD AND DRINKS AFFECT US!

"You are what you eat” is a common phrase many of us have heard. In terms of Spirituality, there is truth in this simple statement and it has an even deeper significance. We choose what we eat or drink based on liking, health, social factors and other reasons, but most of us do not consider the spiritual dimension when choosing what we consume. We have found through spiritual research that in addition to the health effects of different foods and drinks, every food or beverage has a certain level of spiritual purity. When we consume spiritually pure items, we imbibe positive energy from them and this benefits us in our daily lives and in our spiritual practice. We feel healthier, lighter, more clear headed and we become more productive also by consuming them. On the other hand, when we consume spiritually negative foods or beverages, we imbibe black energy and this has a strong negative effect on all aspects of our life. We even negatively affect others if we serve spiritually negative food or drinks to them. If we regularly serve our children meat for example, it has the potential to negatively affect them as they grow up and this would have a long term effect on them. Consuming spiritually negative foods and drinks can lead to having more anger, aggression, health problems and other problems as well throughout life. In this section, we explore what choices we can make while eating and drinking to imbibe spiritual benefit and to be protected from spiritual distress. The spiritual effects of eating and drinking foods and beverages can even be measured with biofeedback machines and several articles in this section explore this in more detail



       vegetarian and non-vegetarian food
IF we are open to adopting a vegetarian diet, we would find that it benefits us in many ways. Modern science has shown medical benefits of a vegetarian diet such as improved cardiac health and reduced cancer rates. In addition, there are immense spiritual benefits to vegetarianism as well.

                           

 spiritual research on beverages

What is your favorite drink? Maybe you prefer a bubbly cola, maybe coffee is the perfect way to start your day or maybe you prefer something healthy like milk. We all have our preferences regarding what we like to drink, but usually we do not consider that what we choose to drink has a spiritual impact on us. Here we present our spiritual research findings on the spiritual purity of some common beverages including alcohol, tea, cola drinks, coffee, fruit juice, coconut water, water, butter milk, and Indian cow’s milk John.







YESU ANAWAFUNDISHA WANAFUNZI WAKE

   YESU ANAWAFUNZA WANAFUNZI WAKE



 YESU ANAWAFUNZA WANAFUNZI WAKE
(a) Sifa za Heri—Picha ya mtakatifu "Akafunua kinywa chake na kuwafunza"
Baada ya majaribu ya nyikani, Yesu alirudi Galilaya “kwa nguvu za Roho. habari zake zikaenea katika nchi zote za kandokando” (Lk. 4:14). Sura nne ya Mathayo (Mst. 12-25) ina kumbukumbu ya kazi ya kina ya mahubiri ya Galilaya, ambapo mafunzo na miujiza ya uponyaji ulivutia “umati mkubwa” kutoka sehemu za kaskazini mwa Galilee na Dekapoli, na kutoka mbali hadi Yerusalemu, Yudea na ng’ambo ya Yorodani. Wakati Yesu aliona umati huu alipanda juu ya mlima na pale akaelezea kuhusu sifa ya maadili ya wale wanaostahili ufalme wake.
Lengo letu katika somo hili ni kuona tabia ambayo tunapaswa kuendeleza.
Mathayo 5:1-12
MMOJA ALIYE MKUU KULIKO MUSA
Yesu na Musa walipanda milimani na kutoa sheria ya Mungu kwa watu wake. Lakini Yesu alikuwa mkuu. Wakati Musa alikuwa mpatanishi ambaye "alipokea sheria iliyoletwa kwake na Malaika" (Gal 3:19; Mdo. 7:38, 53), mawasiliano ya Mungu kupitia Yesu yalikuwa ya moja kwa moja. Yesu “alifunua kinywa” na maneno ya Mungu yakatoka  (Ebr 1: 1-2; Kum. 18: 15-19; Mdo 3: 22-23). Tena, ambapo sheria ya Musa ilioredhesha baraka kwa  na laana kwa wale wakaidi (Kum. 28), Yesu aliongea kuhusu baraka pekee. Baadhi ya watu wamehususha hili kwa upole, lakini kinyume chake ni kweli. Wakati wakaidi waliishi chini ya laana  ya katiba ya Musa, hawa wataondolewa na Yesu. Hawatafikiriwa. Watatengwa wakati wa mwanzo wa utawala wake (Mt.. 7:23).
HERI NJEMA
Utu ambao Yesu alielezea katika heri njema ("Baraka" ya Mt. 5: 3-11)  kimsingi ni zake mwenyewe, lakini zingine zilitabiriwa., kwani aliongea kuhusu “hao”,  “wao”  na “ninyi”. Tabia hazikupaswa kuonyeshwa moja kwa moja katika watu tofauti, lakini kuonyesha tabia ya utu wa jumla. Aidha, Hotuba aina uhusiano wowote na wale walio nje ya Imani ya Israeli. Inaonyesha maadili ya watu walio TaYARI ndani ya agano na Mungu. Lakini, katika Heri, Yesu anaelezea pande mbalimbali za tabia yake, pia alielezea MAENDELEO ya  tabia hio, na kutokana na hilo, maendeleo ya tabia yoyote ingefananishwa na yake. Katika kila ya heri nane, mtu anayeongea kumhusu anasemwa kuwa “Heri”- au furaha - si tu kwa sababu ya matarajio yaliyowekwa mbele yake, lakini kwa sababu ya utulivu wa kuendeleza akili ya wale wanaojua na kufanya mapenzi ya Mungu (linganisha. Yohana 13:17). Tena, katika Heri ya kwanza na ya mwisho, imesemwa kwamba heri ni kwa wale “ufalme wa mbiguni ni wao”. Hii haimaanishi kwamba wako tayari kwenye ufalme wa Mbiguni. Hali milikishi ya sasa inatunika kwa sababu watu wa Mungu wameunganishwa na agano la Ufalme. Darasa hili haliwezi kushindwa kufikia hilo. Ufalme unasemekana kuwa “wa Mbiguni” kwa sababu utakuwa Ufalme wake yule mwenye enzi Mbiguni na utaongozwa na kanuni zake.
Zifuatazo ni heri  nane njema-
  1. Heri walio maskini wa roho; Mt. 5: 3 linganisha. Isa. 66: 2. Jambo muhimula kwanza ni umaskini wa roho. Akili kama hii  imekataa yote ambayo mwili unaona kuwa ya kuvutia.  Chaguo lazima lifanywe. Mtu hawezi kusafiri barabara mbili ambazo zinaelekea mahali tofauti. Mtu hawezi kuanza kukubali zawadi za Mungu mpaka pale atakapokuwa tayari kukataa zawadi ambazo dunia inampa. Mtu lazima akatae maarifa ya binadamu, na “anyenyekee kwa Neno”. Lakini mwishowe wa “umaskini” huu au kukataa mambo ya dunia na njia zake, kuna utajiri mkubwa- nafasi ya milele katika Ufalme wa Mungu.
  2. Heri  walio na huzuni- Mt. 5:4; linganisha. Isa. 61:3:  Haya ni matokeo ya kawaida ya roho iliyokataliwa. Kwa wale wanaopunga mkono wa “kwaheri” kwa yale ulimwengu unawapa, wana matumaini kwamba yametatuliwa, watu hawa  wanahusishwa na Ukweli. Wanatazama ulimwengu kutoka kwa mtizamo wa Mungu, na wanaomboleza janii ambayo aidha haina haja, au inayopinga mambo ya Sayuni. Maneno ya Kristo yametoka katika kitabu cha Isaiya 61:3, ambapo wale wanaoomboleza wanasemekana “kuomboleza Sayuni”. Wanaomboleza kukosekana kwa Bwana wao (Mt. 9:15), Na wanasubiri “nyakati za kuburudishwa” kama zilivyotajwa katika Matendo 3: 19-21.
  3. Heri walio wapole- Mt. 5:5; linganisha. Zab. 25:9-14; 37:11. Ni wasikivu- wanaweza kuundwa katika mikono ya Mfinyanzi “walio wapole atawaongoza kwa hukumu: walio wapole atawafunza njia zake”. Kwa dunia wao ni dhaifu na wasio na ladha, lakini tabia hii inapatikana kwa wale walio na tabia dhabiti (mfano Musa-Hes 12: 3) na zawadi ya kukataliwa ambayo ujasiri na kujizuia kunahitajika. Hawana imani na mwili, lakini wanafurahia katika Neno na kuiga maagizo yake (Flp.3.3)
  4. Heri wenye njaa na kiu ya haki--Mt. 5: 6; linganisha. Isa. 55: 1. Kupata maisha kwa kuyacha yaende ni utaratibu wa bure.  Unawapokonya mitume kiungo kinachowapa hali ya kuridhika kwa akili. Lakini maisha hayawezi kubaki bila chochote. Mtu ambaye anatoshelezwa na dunia na hana haja na chakula cha kiroho Aliye maskini wa roho, mpole, nk, heri kwa sababu ya sifa walionazo tayari, lakini Kristo habariki “wenye haki” aidha, anajua wale ambao wana tamaa ya dhati na haki- wakitamani kuona siku ile ambayo haki ya Mungu itaonekana ulimwenguni na, isitoshe haja ambayo hata sasa, tabia yetu na matendo yanaweza onyesha haki ya Mungu Petro akasema: “kama watoto waliozaliwa wanatamani, maziwa ya dhati ya neno, ili mpate kukua na kukombolewa "(1 Pet 2: 2). Ni katika Neno tunapopata kuridhika kwa njaa yetu ya haki, "Mimi ni mkate wa uzima" Yesu alisema,  “yeyote atakaye kuja kwangu hataona njaa; na yeye aniaminiye mimi hataona kiu kamwe" (Yohana 6:35, 7: 37-38).
  5. Heri walio na huruma- Mt. 5: 7; linganisha. Zab. 18:25. Haki inawakilisha kipengele kikali cha tabia inayofaa. nidhamu kali inaweza kuleta mtazamo mkali kwa mapungufu ya wengine. Ukali"  Lazima utoshanishwe na "Wema" kama ni katika Bwana mwenyewe (Rom 11:22 linganisha Kut. 34: 6-7). hakuna kitu kinacho tia mtu roho kama haki iliyo na huruma na rehema? “Upendo wa Mungu” pale tunapoujua kwa rehema yake na ukarimu wake, unajenga ndani yetu upendo na tamaa ya kufanya jambo kwa yule aliye fanya mengi kwa ajili yetu (linganisha Lk 11:42, 2 Kor.5:14; Mt. 23:23).  Mapenzi ya Mungu yanaonekana katika mapenzi ya watu wake. Hatuwezi kutoa kama Mungu, lakini tunaweza na tunapaswa kujifunza kusamehe kama Yeye, na kuwa na Huruma. Tabia hii inapatikana kwa wale ambao ni watiifu kwa amri kuu ya pili (Mt. 22:39; linganisha Yak 2: 8-13).
  6. Heri kwa wale walio na roho safi- Mt. 5: 8; linganisha. Zab. 24: 4-5; 18:26.  Tabia bado haijakamilika. Tunageukia kwa Makini kwa roho. Ni pale tu moyo wetu  uko safi, maisha yetu hayawezi kuwa, lakini matendo mengi na maneno yanaweza kuonekana kuashiria hilo (Tit. 1:15). "Safi" inamaanisha “isiyo changanywa” Mungu ni msafi bila mchanganyiko. Yesu hafikirii kuchanganya hali ya uchafu. Roho sio safi kama tamaa za mtu za kibinafsi zimechanganyika na za Mungu. Lakini kwa kawaida, “moyo ni mdanganyifu na zaidi ya hayo ni mwovu” (Yer.17: 9). Kwa jinsi gani tunaweza takaswa? Kwa kuendeleza hatua za Heri na kujitolea kwake kwa dhati kwa yule aliye Msafi, na Mtakatifu. Ni hivyo tu tunaweza “Kuona uso wake”, kumaanisha kukubalika katika Uwepo wake na kufanywa “kama yeye” kimwili. Tizama mawazo sawia katika 1 Yn. 3: 1-3 na Waebrania. 12:14.
  7. Heri wapatanishi- Mt. 5: 9.  Ubora huu ni matokeo ya tabia kamilifu. Kabla mtume aweze kufanya amani, lazima atulize roho yake inayohangaika (linganisha Zab. 16:32. 25:28). Amani ni  moja katika ya matunda ya roho mtakatifu (Gal. 5:22). Yakobo anarejelea mawazo ya Yesu wakati anasema kwamba “ Maarifa yatokayo mbiguni, kwanza ni safi, tena ni ya amani". Kinyume chake ni kweli kwa wale ambao wana wivu, chuki na ubinafsi katika nyoyo zao (Yak 3: 14-18). Ilio safi Inaleta amani, wanajenga na kuwanganga wale walioumia (Isa. 58:12). Ni vigumu kudumisha amani ile  ambayo “imetengenezwa” “kutafutwa” na kutamaniwa kwa dhati (Yak 3:18; Zab. 34:14; Efe 4: 3). Wapatanishi ni “Wana wa Mungu”. Wanaonyesha kiwango ambacho Yesu, ndungu yao mkubwa ni mkuu milele (linganisha Efe. 2: 4; Rum 5: 1; Isa 9: 6).
  8. Heri wanaoteswa kwa ajili ya haki- Mt. 5: 10-12; linganisha. Isa. 66: 5.Tabia ya watakatifu si ya kuvutia kwa ulimwengu. Mitume wa Yesu wangekumbana na mateso kama yake na kupitia chuki na unyama pamoja naye. Kipimo cha imani yao kingekuwa kipima cha mateso yao.  Mateso yangeendeleza uaminifu na nguvu ya tabia. Wao, pia, watafanywa “dhabiti kupitia mateso” (Ebr 2:10; 5: 8-9). Tazama hasa katika mstari wa 10 na 11 kwamba “ kwa ajili ya haki” ni sawa na “kwa ajili yangu”. Ndani ya Yesu haki ya Mungu inatangazwa. Katika maneno anayo ongea mwenyewe: “Heri ni kwenyu nyinyi”. Walikuwa wale ambao wangepeleka jina lake kwa ulimwengu na wangeteseka kwa hilo (1 Kor 4: 9-13). Hata hivyo mateso yao yangewatoshanisha na Yesu na manabii. Hii ingewapa motisha, kwani wangekuwa wameahidiwa zawadi ya Ufalme. Badala ya kuwa na huzuni, walikuwa na sababu ya kuruka kwa furaha (linganisha Mdo. 05:41; 1 Pet 4: 13-14; 3:14; Flp. 1:29).  
MAMBO TUNAYOJIFUNZA:
  • Tabia zilizo wekwa wazi katika Heri ni zile za mtu kamili wa Mungu anayepatikana katika Bwana Yesu Kristo mwenyewe.
  • Aidha, inaelezea mchakato ambapo mtu hukua, hatua kwa hatua katika kutafuta kufikia mfano wa Kristo.
    • Hatua hizi ni: -
    1) kuikana dunia;
    2) Kuomboleza kwa ajili ya Sayuni ya ukamilifu,
    3) Usikivu - utayari wa kupokea Neno la Mungu,
    4) Hamu ya njia za Mungu kuzingatiwa, na kudhihirishwa,
    5) Kuwa tayari wa kusamehe-kama ukali lazima uwe na uwiano na wema;
    6) Motisha wa kweli wa ndani ya moyo usio changanyika, usiogawanyika katika uaminifu wake, ambapo Mungu ako huru kuingia, ndani yake. Yeye anaweza kuonekana.
    7) Mtu, mwenyewe ametengenezwa na kutengwa na dhambi, ambaye anataka kurejesha, au kurekebisha, wengine.
    8) Tabia, dhaifu na haitoshi kwa viwango vya duniani, lakini ambayo ni upinzani wake wa dunia, na kwa ajili ya mtu anayetarajia kuteseka, kama Kristo alivyofanya. Mizizi ya heri hupatikana katika udongo wa Agano la Kale. Katika kauli hizi fupi kupatikana kiini cha manabii- Tumaini la Israeli.